Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana mimi nimeshawaambia kabisa wajue kuwa mimi sina hela wala nyumba ya kuishi.
>>Kazi yangu ni mkwezi "kama hujui
ukwezi shauri yako"
>>Elimu yangu nimeishia chekechea
>>Naishi chumba cha kupanga Temeke mikoroshini nyumba ya udongo, natumia kibatari,
>>>Mlo wangu ni mmoja kwa siku, kwa mamalishe.
Yani ule mlo wa kulumagia kwa kachumbari.
Inspekta Haruni jirani yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…