Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1582558341461.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mkuu,, mbona mie najua weye mpemba yakhe??
nimeshawadanganya watu humu ndani ya kwamba mimi ni:
  1. mkorea
  2. handsome boy mwenye dimples kuliko vishimo vya kuchezea gololi
  3. tajiri wa fedha na magari
  4. situmii chakula aina ya sembe
  5. mwanaume virgin
  6. degree 3
  7. I speak inglishi rmore than michelle obama mwanamke
siku watakayojua ya kwamba kumbe ni uongo si nitadhalilika mjinga mimi

Karma
 
Back
Top Bottom