ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hata mie mwenyewe nashangaa hawa atleco madrid shuaini zao[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Lol[emoji24][emoji24][emoji24]Leo tumefunga tafrija,
Ila kwa yule aliyekosa sherehe tatu hizo anaruhusiwa kunipa mwaliko kwa ajili ya zawadi nk .
Na kila kitu atagharamia mwenyewe.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeshawadanganya watu humu ndani ya kwamba mimi ni:
siku watakayojua ya kwamba kumbe ni uongo si nitadhalilika mjinga mimi
- mkorea
- handsome boy mwenye dimples kuliko vishimo vya kuchezea gololi
- tajiri wa fedha na magari
- situmii chakula aina ya sembe
- mwanaume virgin
- degree 3
- I speak inglishi rmore than michelle obama mwanamke
Baba Mkwe anang'ata masikio π
π€£π€£π€£π€£
Movie bora kuwahi kutokea
Brein test au inglish testi?copy and paste from twitterrrrii
BRAIN TEST
Which of the following has four, eight and one nine? Answer wisely
A. 88889
B. 4819
C. 888819
D.489
It's not maths; it's English.
Sawa AnneMimi hata sijui.
Mpenzi wa huo muziki na hata wimbo siujui.
Nimeiona huko WhatsApp group wanaijadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa Hawachi πββοΈMovie bora kuwahi kutokea
Mpendwa Davet πMpendwa Hawachi πββοΈ
Tusubirie second leg am team napoli mieSiyo vizuri Binti Mpole Embu Solve the Puzzle hapo [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Vipi habari yako mpendwa?Mpendwa Davet π
Hivi ile picha ulitoa?Sawa Anne
Ndio niliifuta Anne kwani unaitaka tena?
Naitaka ndiyoNdio niliifuta Anne kwani unaitaka tena?
Hahah! Ahsante sana na Numby aone hapa