moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Legends
Picha zangu zipo kule juu,nimetuma j2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili mambo yaende sawa wote mtupie kimoja kimoja. Mie jaji wenu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili mambo yaende sawa wote mtupie kimoja kimoja. Mie jaji wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupia upya hatukuwepo
Baba Mkwe anang'ata masikio [emoji16]
Lakini hizo si ndio taipu za The Don hizo "if yu dai yu dai"
Anko kumbe upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambieni wadau
Ngoja aweke davet kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupia upya hatukuwepo
Mungu atupe usiku mwema
Niambie saa ngapi ili nisije pishana na picha mie.
Hakuna mchungu mkali kwenye huu Uzi Kama kupishana na picha jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yegomasika yupo nitakosaje mimi?Anko kumbe upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]