moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu ni mwema wote tupo vizuri kabisa. Habari za majukumu ndugu yangu?Kaka Mkubwa Habari Gani
Vipi Familia
Uongo wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23], sijawaka niliuliza tu, walivyoona nawasimbua wakageuza lugha wakawa wanaongea kisafa.
Ila nijuavyo Stalla alitwaliwa na Anko maana lugha yao naijua[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unaona wanakuhujumu[emoji23][emoji23][emoji23]Hufai wewe[emoji23][emoji23]
Aiseee....
Kwa afya na uzima..
Davet hajafikia hata nusu ya sifa Zako.Unasaundiishwa mbele yangu naona na unatwaliwa pia naona[emoji23][emoji23]
Pemdeza sana hapo mahali