Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfano wa Acquired (secondary) immunodeficiency ni UKIMWI ambao ni ugonjwa ambao taratibu huharibu mfumo wa kinga za mwili. Husababishwa na kirusi – VVU ambaye hubomoa aina fulani za lymphocytes – T-helper cells. Bila T -helper cells, mwili unashindwa kujilinda dhidi ya mashambulizi ya hata vijidudu ambavyo kwa kawaida huwa si wabaya.
 
Allergic Disorders. Matatizo ya mzio (allergic disorders) yanatokea wakati mfumo wa kinga za mwili unatoa shambulio kubwa kuliko inavyotakiwa pale panapotokea antigen. Vitu vinavyochokoza mashambulio hayo huitwa allergens. Mfumo wa kinga za mwili huweza kusababisha dalili za uvimbe, majimaji machoni, na kupiga chafya. Dawa ziitwazo antihistamines huweza kuondoa dalili hizi.
 
Matatizo ya mzio ni kama:
. Pumu. Dosari katika mfumo wa upumuaji ambayo inaweza kuleta matatizo katika upumuaji, ambayo mara huletwa na matatizo katika mapafu. Kama mapafu yana usikivu mkubwa zaidi kwa allergens (poleni, manyoya au vumbi), njia za upumuaji hubana na kuvimba, hivyo kusababisha shida ya upumuaji.
 
Kuna mtu ananicheka jamani[emoji23][emoji23]
Screenshot_20200301-112336.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom