Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Aisee[emoji23][emoji23]
Niaje bro? Mitikasi vipi pande hizoBro Bro
Happy New MonthView attachment 1373444
Jirani yangu moudgulf, tukutane basi hapa Mtaa wa Libya na Morogoro tupate juice ya miwa yakhe! Umeadimika kama mizizi ya jiwe jirani. [emoji3]
Uber imekuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanesco kesho mtalipa mb zangu vyura ninyi[emoji57][emoji57]
Niaje bro? Mitikasi vipi pande hizo
Hahaha acha mzee, hata kuonekana hapa nimepambana kweli kweliMajambo yanakwenda naona Mzee hijabu alikuficha kisawasawa
Hahaha acha mzee, hata kuonekana hapa nimepambana kweli kweli
Tradestone#S01
It's also the source of happinessMoney is the source of all evils [emoji23]