Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee unauwa sasaHongera sana Najua kilo zitakuwa zimeongezeka kama Hazard
Hii nasikia ipo poa sana, sijaipatia muda niianze
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee unauwa sasa
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna we kula maini yako Tu Mzee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah nilipitia trailer yake iko powa Ugomvi bila sababu muda Wote
Wanasema ni zile story za Jason Bourne
Ngoja niiweke kwenye list hapaYeah wametulia sana humo huwezi kuchoka
Ngoja niiweke kwenye list hapa
Insecure nmeiona, hapa nasubiri S04,ni comedy, drama, romance..ipo vizuri sanaKuna Nyingine nimesikia inaitwa
Insecure
Naomba picha hapa kabla sijakufwata PM[emoji23][emoji23]wewe Anne wewe
Angalia pm yako, nmekutumia tayaliNaomba picha hapa kabla sijakufwata PM
Tangu lini umeanza utani na Mimi[emoji24][emoji24][emoji24]Angalia pm yako, nmekutumia tayali