carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]cant wait nikuwe chibonge.Relax... Nimekuja na formula mpya ya diet, weight iliyopotea itarejeshwa. [emoji3] [emoji3]
Aisee mi mzima, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo. Uvuvi huu bana ni shida.[emoji23][emoji23]cant wait nikuwe chibonge.
U good lakini?umepotea sana
Kaka ake habari[emoji137]
Jaman[emoji16][emoji16][emoji16],tanesco walifanya yaoUlitekwa tena?
Au ulikuwa mapumziko mida ile?[emoji23][emoji125][emoji125]
Pole sanaAisee mi mzima, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo. Uvuvi huu bana ni shida.
Umeona eeh[emoji23][emoji23][emoji23],bado tunatafuta namna ya kumbeba ni ndugu yetu huyu, tutaenda naye hivi hiviKuna wanafunzi hata uwape majibu ya mtihani bado watafeli tu[emoji23][emoji23]
Anza ntamalizia, jana bradhaa kafaidi[emoji16][emoji16]
Na leo tena basi[emoji85][emoji85]
Hao wajinga waneniudhi mimi[emoji57]nikikumbuka bando langu jana hadi natamani kulia.Jaman[emoji16][emoji16][emoji16],tanesco walifanya yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante. Nimefurahi kukuona pia.Pole sana
Mefurahi kukuona leo
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeh[emoji23][emoji23][emoji23],bado tunatafuta namna ya kumbeba ni ndugu yetu huyu, tutaenda naye hivi hivi
Aisee pole sana..Hao wajinga waneniudhi mimi[emoji57]nikikumbuka bando langu jana hadi natamani kulia.
Hujambo lakin?