Mzima!? Feels kama sijakuona Siku nyingi...Thanks
Muambie huyo... Uniq mwenyewe bado yupo shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuwa makini wanaanzaga hivyo hivyo[emoji125] [emoji125]
Karibu mgeni, weka jinsia yako, umri wako na unapoish, halafu useme kama una mchumba au umeolewa au singliKidogo kidogo naanza kuelewa ya humu( AVATAR)
Bado hajarudi toka shule.Jibaba dowezi tayari lisharusha ndoana. Unique naye sijui yuko wapi mh!