Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeshindwa kuvumilia aisee...Kipigo cha livapuu kimekutoa pangoni bwana Ngosha [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
#sametimesameplaceAnza ntamalizia, jana bradhaa kafaidi
#sametimesameplace
Mzima kaka
Nimeshindwa kuvumilia aisee...
Poleni !!!
Mie mzima sana.Kwema shem...
Hujambo?
Kaka hivi ile supu ya jogoo ya jana imebaki?[emoji23][emoji125][emoji125]Hahahahahaha, umekatiza likizo yako ili uje ufarahie ushindi wa Watford?
Wee jamaa hufai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima kaka
Za weekend
Kwema kabisaAisee pole sana..
Sijambo mrembo, habari za kwako? Weekend imeishaje huko
Kaka hivi ile supu ya jogoo ya jana imebaki?[emoji23][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hivi ile supu ya jogoo ya jana imebaki?[emoji23][emoji125][emoji125]
Amekufa akifukuzia ndoto zake. That's all that matters in life....
Nipo full leo#sametimesameplace
#dontbelate
Mimi mbona nipo sema tu nilikuwa napita kimya kimya. Hata mguu matata wa King niliuona [emoji16][emoji16][emoji16]Mie mzima sana.
Habari ya kupotea?
Kwa makelele yako na Stella aisee nisingeweza kuvumilia. Nimejaribu kukaa kimya tangu jana namuona Stella yuko safarini akija kwako kula keki nimeshindwa.Hahahahahaha, umekatiza likizo yako ili uje ufarahie ushindi wa Watford?
Wee jamaa hufai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi mbona nipo sema tu nilikuwa napita kimya kimya. Hata mguu matata wa King niliuona [emoji16][emoji16][emoji16]
Pole sanaNilitamani kulia
Halafu wamerudisha umeme mchana,shuaini zao