Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KIPA wa Manchester United, David de Gea ameendelea kuiumiza timu yake baada ya kutoa boko ambalo lilisababisha klabu hiyo kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa katika dimba la Goodson Park, jana
 
Baada ya kupigwa bao hilo Man United ilitulia na kucheza soka safi hadi ilipofanikiwa kupata bao la kusawazisha katika dakika ya 30 ya mchezo mfungaji akiwa kiungo wake mpya, Bruno Fernandes aliyefunga kwa shuti kali akiwa nje ya 18 kufanya matokeo kuwa 1-1.
 
Matokeo hayo yalidumu hadi mapumziko, na kipindi cha pili timu hizo zilirudi na kushambulia kwa zamu, lakini hakuna timu iliyofanikiwa kuona lango la mwenzake hadi mwamuzi anapiga filimbi ya mwisho matokeo yalikuwa 1-1.
 
Bao hilo la Samatta linamfanya kuweka rekodi ya kufunga mara ya pili dhidi ya mabingwa watetezi baada ya kufanya hivyo dhidi ya Liverpool katika Ligi ya Mabingwa kwenye Uwanja wa Anfield na leo amerudi dhidi ya Man City mabingwa wa Carabao kwenye Uwanja wa Wembley.
 
Katika mchezo huo Man City ndiyo ilikuwa wa kwanza kupata bao katika mchezo huo kupitia kwa Sergio Aguero aliyemalizia pasi ya kichwa ya kinda Phil Foden dakika ya 20 ya pambano hilo lilishuhudia Samatta akiandika rekodi kibao.
 
Dakika 10 baadaye, Man City waliongeza bao la pili kupitia kwa Rodri Hernandez aliyefunga kwa kichwa akimalizia krosi ya Ilkay Gundogan katika dakika ya 30 ya mchezo huo na kufanya matokeo kuwa magumu zaidi kwa Aston Villa.
 
KIPA wa Manchester United, David de Gea ameendelea kuiumiza timu yake baada ya kutoa boko ambalo lilisababisha klabu hiyo kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa katika dimba la Goodson Park, jana
Prisca.. Lile somo la jana haliendelei tena? Kuna mtu anauliza hapa
 
Licha ya kushinda tuzo tano za Ballon d’Or, lakini Neymar anamchukulia Ronaldo kama mchezaji wa kawaida tu ndiyo maana alipotakiwa kutaja mastaa watano anaowakubali na kuamini ni bora sana duniani hakulitaja jina la CR7.
 
Neymar ambaye anadai kuwa angejiona mwenye bahati sana kama angepata nafasi ya kucheza kwenye kikosi kimoja na Romario, Zinedine Zidane, Zlatan Ibrahimivic na Ronaldo de Lima amechagua mchezaji mmoja tu kutoka kikosi cha klabu yake ya PSG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…