KAZI ZA ULIMI
Nitaanza kwa kuelezea kazi moja baada ya nyingne
1.KAURI
- mapenzi hujengwa kwa mswasiliano mszuri kati ya wewe na mpenzi wako
na kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa kauri, na kauri zimegawanyika katika makundi mawili yaani
i)kauri nzuri
ii)kauri mbaya
kila mtu anafaham faida ya kitu kizuri na kibaya, ila Leo nataka kuzungumzia hizi aina za kauri zote mbili
ulimi unaweza kutamka kauri nzuri au mbaya kwa mpenzi wako
hebu jaribu kuutumia ulimi wako kwa kutoa kauri nzur kwa mpenz wako katika mawasiliano yenu kwa mpenzi wako, hii itajenga imani, faraja, matumaini, furaha,na kutia moyo katika huo uhusiano wewe
kila MTU huwa anapata tatizo au msongo was mawazo, lakini wewe ndyo faraja ya mpenzi wako unatakiwa kuutumia ulimi wako kumfariji na kumpa matumaini
mfano mpenzi wako kapata ajari ya pikipiki, akakupa taarifa kuwa ameumia na wewe unamjibu "bwana utajua mwenyewe nilisha kukatazaha kuyumia pikipiki" hii ni kauri mbaya, kwann usitumie kaur ya kumfariji na kumpa magumain ya kupona kama "pole mpenzi wangu, nitakuja kukiona, utapona tu munhu atasaidia"
jifunze kuutumia ulim wako kwaajir ya kumfurahisha MTU