Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ciro Immobile anawatikisa watu akilingana na Mo Salah, ambapo wawili hao kila mmoja amehusika kwenye mabao 92. Immobile amecheza mechi 94, amefunga mabao 71 na kuasisti 21 wakati Mo Salah amecheza mechi 97, amefunga mabao 68 na kuasisti mara 24.
 
huku Aguero aliyecheza mechi 79 ndani ya muda huo amehusika kwenye mabao 75 sawa na Aubameyang wa Arsenal. Aguero amefunga mabao 58 na kuasisti 17, wakati Aubameyang kwenye mechi 90 alizocheza, amefunga mabao 62 na kuasisti 13.
 
Staa wa Kibrazili, Neymar anakamilisha orodha ya washambuliaji 10 moto waliohusika kwenye mabao mengi, ambapo mkali huyo wa PSG amefunga mabao 47 na kuasisti mara 26 katika mechi 52 alizocheza na hivyo kuhusika na mabao 73 ndani ya muda huo.
 
Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stalla alikuwa anakuja kula keki, njiani akautana na mzee wa maparachichi akadaiveti kuelekea Sai moja kwa moja mpaka Ilemi, hao mpaka mpaka Mwakaleli [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]wameniacha Ubongo nasahangaa magari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa makelele yako na Stella aisee nisingeweza kuvumilia. Nimejaribu kukaa kimya tangu jana namuona Stella yuko safarini akija kwako kula keki kwenye nimeshindwa.

By the way Happy Belated birthday...

Hangamaga !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAZI ZA ULIMI
Nitaanza kwa kuelezea kazi moja baada ya nyingne
1.KAURI
- mapenzi hujengwa kwa mswasiliano mszuri kati ya wewe na mpenzi wako
na kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa kauri, na kauri zimegawanyika katika makundi mawili yaani
i)kauri nzuri
ii)kauri mbaya
kila mtu anafaham faida ya kitu kizuri na kibaya, ila Leo nataka kuzungumzia hizi aina za kauri zote mbili
ulimi unaweza kutamka kauri nzuri au mbaya kwa mpenzi wako
hebu jaribu kuutumia ulimi wako kwa kutoa kauri nzur kwa mpenz wako katika mawasiliano yenu kwa mpenzi wako, hii itajenga imani, faraja, matumaini, furaha,na kutia moyo katika huo uhusiano wewe
kila MTU huwa anapata tatizo au msongo was mawazo, lakini wewe ndyo faraja ya mpenzi wako unatakiwa kuutumia ulimi wako kumfariji na kumpa matumaini
mfano mpenzi wako kapata ajari ya pikipiki, akakupa taarifa kuwa ameumia na wewe unamjibu "bwana utajua mwenyewe nilisha kukatazaha kuyumia pikipiki" hii ni kauri mbaya, kwann usitumie kaur ya kumfariji na kumpa magumain ya kupona kama "pole mpenzi wangu, nitakuja kukiona, utapona tu munhu atasaidia"
jifunze kuutumia ulim wako kwaajir ya kumfurahisha MTU
 
Mpambane na hali zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
KIPA wa Manchester United, David de Gea ameendelea kuiumiza timu yake baada ya kutoa boko ambalo lilisababisha klabu hiyo kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa katika dimba la Goodson Park, jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…