Tangu kuondoka kwa Cristiano Ronaldo mwaka 2018, Madrid imekosa mchezaji wa kuwafungia mabao 50 na zaidi kila msimu, usajili wa Mariano Diaz kutoka Lyon na Luka Jovic kutoka Eintracht Frankfurt unaonekana kufeli.
Straika mkongwe Karim Benzema pia ameshindwa kuipa timu hiyo mabao mengi kama ilivyokuwa enzi ya Ronaldo ndiyo maana sasa uongozi wa timu hiyo unatafuta straika mwingine ambaye ataweza kuihakikishia mabao ya kutosha msimu ujao.
Inaelezwa mezani kwa Florentino Perez kuna majina ya Martinez, Werner na Haaland ambaye ndiye anayepewa nafasi zaidi, lakini pia timu hiyo bado haijakata tamaa katika kumnasa Kylian Mbappe kutoka Paris Saint Germain.
De Gea alifanya kosa kwa kupiga vibaya aliorudishiwa na Harry Maguire na kutoa nafasi kwa Dominic Calvert-Lewin kufunga bao ikiwa ni dakika ya tatu kabla ya Bruno Fernandes kusawazisha.
De Gea alifanya kosa kwa kupiga vibaya aliorudishiwa na Harry Maguire na kutoa nafasi kwa Dominic Calvert-Lewin kufunga bao ikiwa ni dakika ya tatu kabla ya Bruno Fernandes kusawazisha.
“Msimu uliopita alikuwa katika presha kubwa, lakini ukiniuliza msimu huu amefanya kosa gani sikumbuki. Namuamini David kwa asilimia 100,”alisema Solskjaer.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.