myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Walezi wa nyumbani poleni sana...
Hii habari ni kweli wapendwa [emoji24][emoji24]
Aisee....
Prisca.. Lile somo la jana haliendelei tena? Kuna mtu anauliza hapa
Ankoo, hivi ujue nasoma kila ukitupiacho humu... Yaani ni nukta kwa nukta.5555555 limeishia pale pale
Wee nae!!Wewe bana, sasa sisi WAGUMU maabara za kufanyia vitendo vya hizi nadharia tutazipata wapi? aah! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]