moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahah! Sawa sawa kakaPost haina shida, post ipo kwa nia ya kutoa mafunzo kwa wavivu wa shughuli za kitandani.
SYB analalamika maana post zake za misambwanda zilipigwa vita na baadhi ya memba, kwahiyo hao memba wanajitetea.
Vinginevyo mi binafsi nipo sahihi kila upande.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀SawaUnakwama wapi mpaka umri huo hujapanda Kilimanjaro!?
Nitafute nikusaidie tukaupande
Kilimanjaro.....Karibu Tanzania View attachment 1374369
👍 👍 👍 👍View attachment 1374383
Hii Ni Mechi Baina Ya Bayern Munich Vs Hofenheim ya Ligi kuu ya Ujerumani Imechezwa Juzi .......Wakati Mechi Ikiendelea Dakika ya 77 Bayern Akiwa Anaongoza Bao 6-0.... Mashabiki Wa Bayern Walianza Kupiga Kelele za Dhihaka kwa kocha Wa Hofenheim Kwa kumuita Son of Bitch........Wachezaji Wa Bayern na Referee Wa Mchezo Huo Walijitahidi Kukemea Jambo Hilo Lakini Ikashindikana....... Wachezaji Wa Timu Zote Mbili Kwa Maana ya Bayern na Hofenheim Kuona Hali Hiyo Bado Inaendelea Wakamuomba Refferee Watoke nje Ya uwanja......Wakiwa Nje Ya Uwanja Wakajadiliana Warudi Uwanjani Kuendelea Na Mechi Hiyo Lakini Hakuna Kufunga Goli na Wawe Wanapasiana Wachezaji Wa Timu Zote Mbili ......Hiyo Ni Kupinga Kitendo Kilichokuwa kikifanywa na Mashabiki Wa Bayern Dhidi Ya Kocha Wa Hofenheim👏👏👏
Nimesaka marudio yake bila mafanikio ipo siku nitayapata tu ili nishuhudie huo uhondoView attachment 1374383
Hii Ni Mechi Baina Ya Bayern Munich Vs Hofenheim ya Ligi kuu ya Ujerumani Imechezwa Juzi .......Wakati Mechi Ikiendelea Dakika ya 77 Bayern Akiwa Anaongoza Bao 6-0.... Mashabiki Wa Bayern Walianza Kupiga Kelele za Dhihaka kwa kocha Wa Hofenheim Kwa kumuita Son of Bitch........Wachezaji Wa Bayern na Referee Wa Mchezo Huo Walijitahidi Kukemea Jambo Hilo Lakini Ikashindikana....... Wachezaji Wa Timu Zote Mbili Kwa Maana ya Bayern na Hofenheim Kuona Hali Hiyo Bado Inaendelea Wakamuomba Refferee Watoke nje Ya uwanja......Wakiwa Nje Ya Uwanja Wakajadiliana Warudi Uwanjani Kuendelea Na Mechi Hiyo Lakini Hakuna Kufunga Goli na Wawe Wanapasiana Wachezaji Wa Timu Zote Mbili ......Hiyo Ni Kupinga Kitendo Kilichokuwa kikifanywa na Mashabiki Wa Bayern Dhidi Ya Kocha Wa Hofenheim👏👏👏
😂 😂 😂Cristiano Ronaldo was spotted celebrating Vinicius Jr's opening goal during Real Madrid's 2-0 win over Barcelona on Sunday night.
Ronaldo returned to the Bernabeu to watch El Clasico and entered the stadium in a low key black van to avoid being detected by fans.
Supporters and TV cameras soon spotted him sat in the stands and he showed he still holds the club close to his heart after his jubilant celebrations