Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni kawaida kwa miji mikuu mataifa ya Kiislamu kupambwa sana na sherehe kubwa kuandaliwa, watoto kununuliwa nguo mpya na kupewa zawadi mbalimbali.
😂😂😂😂😂😂Barcelona huyooooo anainama barca anainuka barca anaona haya huyooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barca huyo kachapwa kalia kasusa huyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
✔✔Lakini hizi ni sikukuu tofauti.
Eid ul-Fitr
Eid ul-Fitr maana yake ni "sikukuu ya kumaliza mfungo" na kutumiwa kuadhimisha mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.