Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama ilivyo kwa mgonjwa ili aweze kupona na kuimarika vizuri katika afya yake hana budi mgonjwa huyo kuweza kufuata utaratibu wa kutumia dozi ili aweze kupona.ndivyo ilivyo katika safari yako ya mafanikio unaitaji kuapata dozi, dozi ambayo ina misingi na utaratibu wake wa kuitumia.