Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jamani eee hadi muda huu hamfahamu site ya kudownload vifilipino? Help me pleaseee
Wapi ntapata Philippines drama?
Wapi ntapata Philippines drama?
Ulishaanza kuchanganya mambo..
Acha kuchanganya Mpira na vitu vya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha
Mgonjwa wa kidole ameanguka, mgonjwa wa ICU amepona[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane tena siku Livapuu wakifungwa...
Saint Anne siku mkipigwa tena nishtue please nije kuwachekeni [emoji16][emoji16][emoji16]
The Don was here [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1374196
Niambie mpendwa
Hio post nimeweka usiku mnene. Kumbuka ulishatoa onyo ya usiku yasiquotiwe asubuhi au mchana so walioquote wana makosa hapo
Safi mrembo Khantwe nakusalimia