Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mwambie huyoLivapuu haitafungwa tena, nadhani siku ukirejea hapa utakuta tayari imeshavikwa taji la kifalme
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyoLivapuu haitafungwa tena, nadhani siku ukirejea hapa utakuta tayari imeshavikwa taji la kifalme
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli...Imefikia hatua hadi majumbani mwetu uaminifu umekosekana yaani watu wamezoea tabia mbaya mpaka imeonekana ni sahihi, mfano unakuta hata mama pale nyumbani yupo tayari kumdanganya mumewe juu ya matumizi fulani ili mradi tu aweze kutimiza malengo yake , au mwingine anafikia hatua ya hata kuwatesa watu wa nyumbani mwake kwa kuwapa vitu vilivyo chini ya kiwango ili mradi tu aweze kufanya yake, watu wengi wamekosa uaminifu kabisa.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] barcaaaaaaa mko wapi?
Aisee! Sheria zipo nyingi humu nyingine hatuzijui mtusamehe bure 😀Hio post nimeweka usiku mnene. Kumbuka ulishatoa onyo ya usiku yasiquotiwe asubuhi au mchana so walioquote wana makosa hapo
Dhumuni la sheria juu ya katazo la kuquote posts kama hizo asubuhi au mchana lilikua ni nini bro?Mi niliquoti usiku wa saa 9, na sijaona ubaya ila kwenye wengi kuna mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini usiwe mrembo Khantwe jiamini,jikubali mpendwa [emoji123]
Napenda kuitwa vile nilivyokwambia na sio kinyume chake. Najiamini sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani siku moja nipande huu mlima
😃😃😃😃Barcelona huyooooo anainama barca anainuka barca anaona haya huyooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Barca huyo kachapwa kalia kasusa huyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhumuni la sheria juu ya katazo la kuquote posts kama hizo asubuhi au mchana lilikua ni nini bro?
Natamani siku moja nipande huu mlima