Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Sasa hapo itakua mrembo macho yake mfukoni tuHahah! Warembo wao hawajali
Picha aliwahi kufuta mpendwaNije PM ee?
#uwiiiinimepitwaa
Waaow nimekosa uhondoPicha aliwahi kufuta mpendwa
Aaah sifia acha kujishtukia bae wake yupo busy mpaka kwaresima iishe ndo atarudiSitaki kusifia sana bae wake akachukia ila ana macho ya kushawishi mpendwa
Pole mpendwaWaaow nimekosa uhondo
#machoyakurembua
Hapana sio hivyo mpendwa, ujue kila mtu kabarikiwa kwa namna yake sasa ni lazima utakua na kitu tu labda watu wanaokuzunguka hawasemiMimi nahisi hakuna
Mpendwa kapendelewa macho kama yale ilibidi nipewe mimiAaah sifia acha kujishtukia bae wake yupo busy mpaka kwaresima iishe ndo atarudi
#ThKamilishahuuUtabiri 55555
Aaaah huyu kijana majanga.Pole mpendwa
#Sioyakushawishinimazuri
Labla sauti yangu naamini hivyoHapana sio hivyo mpendwa, ujue kila mtu kabarikiwa kwa namna yake sasa ni lazima utakua na kitu tu labda watu wanaokuzunguka hawasemi
Hahahahahaa aiseee tumekosa uhondoMpendwa kapendelewa macho kama yale ilibidi nipewe mimi
#Machoyakuchawishi
Ulikuwa wapi ni mda huu kaweka picha 😀😀😀Hahahahahaa aiseee tumekosa uhondo
Hata mie mwenyewe nashangaa,ina maana haukuisave?Ulikuwa wapi ni mda huu kaweka picha 😀😀😀
Mpendwa dakika moja kafuta yaani ni kitengo cha sekunde hakuna pichaHata mie mwenyewe nashangaa,ina maana haukuisave?
Duh nimekosa ubuyuMpendwa dakika moja kafuta yaani ni kitengo cha sekunde hakuna picha
Install ki-software uwe unazipata otomatikale. Mi nimeikuta japo sikuelewa ni ya nani. Ndiyo maana nikaja hapa kumfahamu mhusika....Hata mie mwenyewe nashangaa,ina maana haukuisave?
Pole mpendwaDuh nimekosa ubuyu
Nitumie bro hicho kisoftware na kapicha kenyewe nioneInstall ki-software uwe unazipata otomatikale. Mi nimeikuta japo sikuelewa ni ya nani. Ndiyo maana nikaja hapa kumfahamu mhusika....
Mpendwa wetu naona macho yamemmaliza kabisa. Hongera zake King kwa sababu mpaka kumdatisha Mpendwa wetu huyu naamini siyo kazi rahusi [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
🤣🤣🤣🤣🤣Cheiiiii king niyaoneeeeeeee