Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cayenne” huweza kuongeza hamu ya kula. Pilipili hii inaweza ikatumika kwa kuongezwa kwenye chakula wakati wa kupika au wakati wa kula. Pia huweza kuongezwa katika juisi au maji ya kunywa. Hata hivyo ni vyema pilipili itumiwe kwa kiasi.
Nimekua mlevi wa pilipili yaan nikiikosa chakula hakina radha
 
Mpenzi mtazamaji
IMG-20200303-WA0015.jpg
 
Install ki-software uwe unazipata otomatikale. Mi nimeikuta japo sikuelewa ni ya nani. Ndiyo maana nikaja hapa kumfahamu mhusika....

Mpendwa wetu naona macho yamemmaliza kabisa. Hongera zake King kwa sababu mpaka kumdatisha Mpendwa wetu huyu naamini siyo kazi rahusi [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Hiko ki software kinaitwaje?na mimi nakitaka shem
 
Back
Top Bottom