Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anne mguu,hawachi macho aisee king si wa mchezo mchezo
 
Mbona nawe ulinidatisha mpendwa
 
Anne mguu,hawachi macho aisee king si wa mchezo mchezo
Picha niliyonayo mimi iko black & white kiaina ila kama ni mweupe basi hata kale kakijana ka Anodi Alekizanda kalikomdatisha mtakatifu wetu kutoka Livapuu kanasubiri sana kwa King...Ndiyo maana huwa anagombaniwa kama mpira wa kona aisee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Chezeya KD kila kona anaacha simulizi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro SYB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…