Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uwazir wa wizara ya maandaz au ya papuchNimegundua uwaziri ni mtamu
Toa likes pata likesSamaki mkunje
Haswa, we unachagua kijani na njano?Unasubiria tirion za makinikia mkuu?
Kuna kitu umekula kwa mwanafunzi huyo mkuu,Pole mkuu. Mimi nafuata matakwa ya dadangu. Mi nataka ng'ombe tu mkuu. Atakayeuteka moyo wa dadangu basi ndiye huyo na inavyoonekana kwa sasa ni Uniq. Kosa langu hapo liko wapi mkuu? By the way, una ng'ombe wewe?
Sambaza likes toa likes kula likesKidogo kidogo naanza kuelewa ya humu( AVATAR)