moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mhenga wa miaka 75 nitakudatisha na nini mpendwa? Ni wakati wenu huu mpendwa. Utumieni vyema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Daah ni kweli nimeona ila sio saaaana...
#sikuwezikwakumbukumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashukuru Mungu tupo salama....Fresh za pande hizo.
Ujumbe wa juzi nilikuja kuuona usiku bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishaweka kule snap itHumu kwenye uzi kuna Wapendwa wazuri kupita sisi Wanawake sitasubutu tena kuweka hata ukucha wangu
#Machoyakushawishi
Hahah! Bado ninayo ila naona haina ubora tena imekua ya zamani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe bado ipo
😁😁😁 wewe Mpendwa weweHumu kwenye uzi kuna Wapendwa wazuri kupita sisi Wanawake sitasubutu tena kuweka hata ukucha wangu
#Machoyakushawishi
Ndio mpendwa naanza kuzisaka nifute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishaweka kule snap it
😄😄[emoji23][emoji23]
Yaani hapa na image laiti kama yaani......... 😄😄😄😄😁😁😁 wewe Mpendwa wewe
Tunashukuru Mungu tupo salama....
Nilijua utapata ujumbe mapema na ungetokea ndio maana nilifanya sifa siku hiyo
View attachment 1375447
#Nasikitikaulichelewakupataujumbe
Sijawahi kufika kwenye huo uzi sasa utanifanya nikapekue page baada ya page nimuone mpendwa Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishaweka kule snap it
😂😂😂😂 aisee!Yaani hapa na image laiti kama yaani......... 😄😄😄😄
Nimeku-PM picha yangu mpendwa. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Nitaomba mrejesho [emoji16][emoji16]Aisee Siamini
Sawa Carba next time nitajitahidi kutoa taarifa mapemaKumbe nimekosa mambo
#nitajitahidinexttimenitokee
#utumeujumbemapemabasi
[emoji120][emoji120]Sawa Carba next time nitajitahidi kutoa taarifa mapema
#INShaAllah
Yale macho hayatakuacha salama shem. Achana nayo....vinginevyo utajikuta vu bin vu umejikunja unaandika sredi ya uzinduzi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Naomba nione macho ya "kushawishi"na mimi
#naonanimwendowaubertu
#waruwanafaidi
Nakuja 😍😍nakuja mpendwa wanguNimeku-PM picha yangu mpendwa. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Nitaomba mrejesho [emoji16][emoji16]
Walaji wazuri wa pilipili hawapati kansa za matumbo. Wana immune system nzuri. Mfumo imara wa lishe. Hawaugui hovyo hovyo...na wanaishi maisha marefu. Sema tu huwa wana kisirani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mimi sijui nitaacha lini,siwezi kula bila pilipili