myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hatimaye mpendwa naye kapatikana. Tangu alipokuja hapa mpaka wakati huu kweli kapitia mabadiliko mengi. Uzi huu ni kama vile chai ya moto. Mkate hata uwe mgumu namna gani ati ze endi ofu ze dei ukilowekwamo utaishia kulainika tu kwa sababu hakuna namna. Hongera kwa King kwa kutulainishia mpendwa wetu wa Dubai [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huyu kijana ni hatari kwa afya za wadada
Stella na mpendwa hoi[emoji23][emoji23]
Safiii
Picha aliwahi futa mpendwa 😀😀Mpendwa naomba na mimi niyaone hayo macho ya "kushawishi"
Saint Anne alikuwa anahangaika kusifia kale kacheza rede kake kenye sura ya kike kumbe vijana mahendisamu wanamcheki tu...Hahahahaha[emoji23][emoji23]
Sifa zote zimwendee king kwa kuwa na sura inayowadatisha warembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! haya na iwe hivyo...Naombea mipango yako yootee ifanikiwe
Mchana wa kula unaaga...
Mpendwa naye ni moto wa kuotea mbali. Picha yake ya kwanza kabisa aliweka kule kwa dakika moja tu akaifuta lakini nikawa nimeidaka otomatikale. Kwa jinsi ilivyokuwa nikajaribu kuona kama pengine kaiokota mtandaoni Instagram kwa maslei kwini lakini ikathibitishwa kuwa picha hiyo ilikuwa imepigwa siku hiyo hiyo na geo location ikaonyesha ni Dubai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulishaweka kule snap it
Akiwekaga kule sekunde 30 tu keshafuta. Ila ni moto balaa maslei kwini wa IG wala hawamsogelei. Yaani hata akiwa kwenye dera bado unaona....shombe shombe halafu dah [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Sijawahi kufika kwenye huo uzi sasa utanifanya nikapekue page baada ya page nimuone mpendwa Hawachi
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wagonjwa poleni..MUNGU awaponye...