Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mzee mwenzake umenishtua sana.Alfa Romeo Disco VolanteView attachment 1375727
Duuh! Kama sio lile Ford basi itakua ni ile Jeep πππMzee mwenzake umenishtua sana.
Kuna mahali umepost ndinga yangu bila kujua π π π
Hili gari linatuacha wengine kila siku ...Wakati nipo mtoto nilikua nayachukia sana mana nilikua nayaona makubwa ila baadae watu wengi walikua wanaonesha kuyapenda ikapeleke na mimi niyapende tu.....
Kwakua na wewe umependa na umekua mkweli kusema basi acha tu niseme Asante sana Mpendwa π
SafiiDunia ya walimbwende
View attachment 1375537
ππππ daah!Hili gari linatuacha wengine kila siku ...
Juzi guu la haja , leo macho...
View attachment 1375765
msiwe mnazitoa jamani