Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Spurs ilikubali kumuuza Wanyama kwa euro milioni 13.6 klabu ya Ubelgiji ya Bruges na mwezi Agosti lakini uhamisho huo uligonga mwamba kabla ya muda wa mwishowa uhamisho wa wachezaji.
Hahah! Eti kumpiga RM ndio tumekua wababe, kweli?Eti wababe[emoji23][emoji23][emoji23] kumpiga r madrid tu mshakua wababe cheiii si mgonjwa wa icu yule au umesahau maneno yako?
Amen.Salamu za Jumatano ziwafikie popote mlipo.
Siku iwe njema kwetu sote.
Kila lakheri huko aendapo huyu jamaa kafanikiwa kwa namna yakeWanyama, 28, ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Kenya ameiwakilisha Spurs mara nne tu msimu huu.
"Tunamtakia Victor kila la heriu," klabu hiyo ya ligi ya ligi ya Premia.
It's cool to Pop some....... it's good than meditation
Kuna baridi huko?Asubuhi ya baridi
Na mvua za kutoshaKuna baridi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo tu ndo mnatamba sanaHahah! Eti kumpiga RM ndio tumekua wababe, kweli?
Bro, kwema?Kila lakheri huko aendapo huyu jamaa kafanikiwa kwa namna yake
Humu kwenye uzi kuna Wapendwa wazuri kupita sisi Wanawake sitasubutu tena kuweka hata ukucha wangu
#Machoyakushawishi
Saint Anne alikuwa anahangaika kusifia kale kacheza rede kake kenye sura ya kike kumbe vijana mahendisamu wanamcheki tu...
Akija kuona hili jicho la King adate sipati picha hasa ukizingatia kuwa yeye huwa hafichi hisia zake....