moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa taarifa zisizo na shaka ni kwamba umefikia kwa ankooJamani mnanionea.
Sijafika dar,nimekwama kilosa hapa,daraja lilisombwa na mvua[emoji23]
Davet naomba pichaView attachment 1375897
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Hapana bwana hapo kwa RM tunatamba kwasababu kwa muda wa miaka 11 amekua akiwaonea sana vibonde wa England ila sisi tumekataa huo unyonge...... ila siku zote sisi ni wababe tu[emoji23][emoji23][emoji23] hapo tu ndo mnatamba sana
ππππ kumbe umeona?Bro, kwema?
Nakuona umefurahi hapo juu nikipokea baraka za mama Mfilistiπππ
Kweli mmeishiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Carabao CupView attachment 1376173
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana jipyaHizii ndoo si za mbuzi jamani
Habari yako bro? Uwe na siku njema yenye kupendeza huko uliko
πππ jamani