Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nashukuru sijawahi kupata uraibu wa vinywaji.
Labda maji.
Pombe, kahawa, chai, juice, soda navichukulia poa tu
Kuna kipindi aisee ilinielemea. Yaani nikiikosa kichwa kinauma kama kinataka kupasuka. Kimbembe kikaja sasa nikaenda vijijiji huko ndani ndani kabisa. Wiki karibia mbili kichwa kinauma sina raha baadaye nikazoea. Sasa nimehamia kwenye chai na kama ikibidi kahawa basi lazima iwe decaffeinated kwa sababu faida ni zile zile...

Anza kunywa decaff pole pole huku ukisikilizia...au changanya 3/4 decaff na 1/4 yenyewe uone kama kichwa kitauma...then you wean yourself slowly...Kahawa sana na mimba unaweza hata kumdhuru mtoto [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulima poleni sana...
Tupo tunapambana
FB_IMG_1582699437749.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi aisee ilinielemea. Yaani nikiikosa kichwa kinauma kama kinataka kupasuka. Kimbembe kikaja sasa nikaenda vijijiji huko ndani ndani kabisa. Wiki karibia mbili kichwa kinauma sina raha baadaye nikazoea. Sasa nimehamia kwenye chai na kama ikibidi kahawa basi lazima iwe decaffeinated kwa sababu faida ni zile zile...

Anza kunywa decaff pole pole huku ukisikilizia...au changanya 3/4 decaff na 1/4 yenyewe uone kama kichwa kitauma...then you wean yourself slowly...Kahawa sana na mimba unaweza hata kumdhuru mtoto [emoji16][emoji16]
Nimekuelewa asante sana, nilishawahi kuweza kwa miezi kama mitatu....nikaja pata stress za maisha nikakuta niko na kiu ya kahawa balaa...decaf itakuwa shida maana mimi napendelea Africafe na sijaona kama zipo decaf.

Namalizia hili kopo niachane nayo ka kweli...

Niko salama kabisa maana ni kikombe 1 kwa siku tu....ila nisipokunywa siku inasimama.
 
Back
Top Bottom