myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii
Safiii
Nashukuru sijawahi kupata uraibu wa vinywaji.
Labda maji.
Pombe, kahawa, chai, juice, soda navichukulia poa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja na mie nikaoge hapo
Asante, nawe ubakie salamaWasafiri mfike salama...
Asante...wa mchana mwema wapite tuJioni yetu iwe na amani
Safiii.............
Hatarii...wamenusa kifo
Uko na afya sana
Sanaaa..nitaweka baadhi nilizobahatika kupishana nazo...ile kazi ni kipaji kikubwa
Kivipi mkuu?
Mi sinywi pombe, lakini hunywa kawaha mara chache, sinywi soda, hunywa chai mara chache, nakunywa juice.
Kwa hilo namshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea sana. Ni mimba imekuelemea ama? Pole [emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221]