moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuna kipindi aisee ilinielemea. Yaani nikiikosa kichwa kinauma kama kinataka kupasuka. Kimbembe kikaja sasa nikaenda vijijiji huko ndani ndani kabisa. Wiki karibia mbili kichwa kinauma sina raha baadaye nikazoea. Sasa nimehamia kwenye chai na kama ikibidi kahawa basi lazima iwe decaffeinated kwa sababu faida ni zile zile...
Anza kunywa decaff pole pole huku ukisikilizia...au changanya 3/4 decaff na 1/4 yenyewe uone kama kichwa kitauma...then you wean yourself slowly...Kahawa sana na mimba unaweza hata kumdhuru mtoto [emoji16][emoji16]
😂 😂 😂YNWA=YOU WILL NEVER WIN AGAIN 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne maana ulinicheka sana
Kweli kasbisaUkiwa na tabia ya dhulma, shari, ufisadi, ubadhirifu, uzinifu, ulozi,ugombanishi, na uchafu mwingine lazima uishi maisha ya mashaka na kujilinda linda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeee...
Naomba uwe unatuwekea na picha za Graffit mpendwa
Nimekuelewa asante sana, nilishawahi kuweza kwa miezi kama mitatu....nikaja pata stress za maisha nikakuta niko na kiu ya kahawa balaa...decaf itakuwa shida maana mimi napendelea Africafe na sijaona kama zipo decaf.Kuna kipindi aisee ilinielemea. Yaani nikiikosa kichwa kinauma kama kinataka kupasuka. Kimbembe kikaja sasa nikaenda vijijiji huko ndani ndani kabisa. Wiki karibia mbili kichwa kinauma sina raha baadaye nikazoea. Sasa nimehamia kwenye chai na kama ikibidi kahawa basi lazima iwe decaffeinated kwa sababu faida ni zile zile...
Anza kunywa decaff pole pole huku ukisikilizia...au changanya 3/4 decaff na 1/4 yenyewe uone kama kichwa kitauma...then you wean yourself slowly...Kahawa sana na mimba unaweza hata kumdhuru mtoto [emoji16][emoji16]
Duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeenda na corona