moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ilikuwa ishu kupatikana, aliyekusimulia yupo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah bro ako kachanganya madesa hio 200 nayo ilikua kubwa enzi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hajaongelea senti yetu
[emoji23][emoji23][emoji23] mhenga100 tu imekuingiza chaka aya hiyo senti utaijulia wapi jamani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Chagua hela yako uliyokuwa unapewa kwenda nayo shuleView attachment 1377082
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje wahenga wenzangu ndio nitaelewana nao vizuri maana nyie tutasumbuana vichwa kutokana na utofauti wa generation zetu
Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chagua hela yako uliyokuwa unapewa kwenda nayo shuleView attachment 1377082
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, ngoja niwapishe kwanza
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] mhenga
Sina sababu
Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
😂😂😂😂 eeh! Wanaleta mabishano kwenye vitu hawavijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro andatwente wanakusumbua[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Moud, Mohamed.
Hilo la mbele niachie mwenyewe maana ndiyo password yangu.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Nataka nijue ukweli wa jina lako, pia ukweli kwamba unatumia fyekero
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀 Ulkuwa unafungiwa numby
Nilipoandika hiyo list nilituma kabla sijakuandika.....nikarudi ku edit (nikakuongeza)...nikahisi ange jibu mtu...usingekuwepo kwenye list.
So moud wewe ni Mo au mudi?Moud, Mohamed.
Hilo la mbele niachie mwenyewe maana ndiyo password yangu.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app