Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha, andatwente wala hawajui hata ukumbi wa wapiwapi, mundo, supa fanaka, White House, wala highway.
Wapo kukopi kopi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tunaongea lugha moja, hapa angekuwepo na Anko basi tungekumbushana mengi zaidi.......

Hawa watoto ata hawajui Silent in wala Imasco enzi zake ilikuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.... Nimeona aisee ila ukiachana na uchungu wa kauli yake pia ni kauli inayotupa matumaini sasa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakumbuka bro kweli watu tunatoka mbali, ila jamaa yetu nae kwakua anakuja taratibu wacha tumpe muda
Umeona iyo kauli ilivypjaa uchungu??
Kijana kaumia sana[emoji23]
Kuna mwanga kwa mbali unakuja[emoji23][emoji23][emoji23],hata mimi nilikuwa hivi hivi tena zaidi, ila kwa sasa imebak historia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiki Ni Kitu Muhimu Unachotakiwa Kuwa Nacho Ili Usishtukizwe Na Maisha.

Iwe ni kwenye biashara au ni kazini kwako, umejiajiri au umeajiriwa na kwa sasa unaona kila kitu kinaenda sawa, ni muhimu kufikiria kuwa kuna siku mambo yanaweza yasiwe sawa kama yalivyo leo.
 
Kuna siku hiyo ofisi inaweza ikaungua, hiyo biashara inaweza kuungua moto au hata kuibiwa na majambazi. Au pengine yule mtu unayemtegemea sana kuendesha hizo shughuli anaweza asiwepo tena au asiwe na uwezo wa kuendelea kutoa msaada au huduma anayokupatia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…