Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1583336266906.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika baraka za wazazi hazihitaji nguvu.
Sijambo mpendwa Dubai Corona mpendwa ni mwendo wa kujifunika nikabu.

#IlasikoDubainipobuza
Corona ni kizaazaa aisee. Duniani kote. Wanasema haipendi joto na pengine hili litatuokoa Afrika....

Nialike huko Dubai nije kukutembelea mpendwa. Hata kama ni Dubai ya Buza sawa tu....

#Nikabunivazilaheshima
 
Back
Top Bottom