myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni imeshika kasi...
Hahah! Acha tuNakuona Davet umetupia😀
Joto la Africa halifikii la Nchi zote za kiarabu kule ni kiama (Mungu nisamehe) si kweli Corona haipatani na joto kama kweli Dubai,Oman, kusingekuwa na wagonjwa.Corona ni kizaazaa aisee. Duniani kote. Wanasema haipendi joto na pengine hili litatuokoa Afrika....
Nialike huko Dubai nije kukutembelea mpendwa. Hata kama ni Dubai ya Buza sawa tu....
#Nikabunivazilaheshima
Paka wanatabia kubeba watoto hivi huwa najisikia huruma.