Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Corona ni kizaazaa aisee. Duniani kote. Wanasema haipendi joto na pengine hili litatuokoa Afrika....

Nialike huko Dubai nije kukutembelea mpendwa. Hata kama ni Dubai ya Buza sawa tu....

#Nikabunivazilaheshima
Joto la Africa halifikii la Nchi zote za kiarabu kule ni kiama (Mungu nisamehe) si kweli Corona haipatani na joto kama kweli Dubai,Oman, kusingekuwa na wagonjwa.
Karibu mpendwa Dubai ya Buza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…