Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaelezwa kuwa kama corona ikiendelea kusambaa England basi mabosi hao watalazimika kuamuru mechi zilizosalia za michuano mbalimbali msimu huu zichezwe bila mashabiki badala ya kuvunja ligi na michuano inayoandaliwa na chama hicho.
 
Wakati Shirikisho la Soka Ulaya, likitumia dakika mbili tu kujadili kuhusu janga la Corona, mabosi wa FA wanalichukulia tatizo hilo kwa ukubwa wa kipekee na ndiyo maana wameanza mikakati na kupanga njia za kupambana nalo.
 
IMEKAA vibaya! Virusi vya corona vimeendelea kuzua taharuki kwenye ulimwengi wa soka na sasa mabosi wa Ligi Kuu England na wale wa Chama cha Soka England (FA), wanafikiria mechi zilizosalia msimu huu zichezwe bila mashabiki.
Waufute tu huu msimu waminya makende waukose ubingwa. Shwaini zao [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…