Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasikia Saint Anne mpaka ukubali uwe mke wa nne ndio utauona mguu wa Ustadhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nafwaaaaaa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ataujua tu. Atakwenda wapi? Dunia yenyewe ni hii hii hakuna nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umetoa summary [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna binti mmoja anataka kuona mguu wa mtoto wa Ustaadh Moud. Ustaadh naye hataki kumuonyesha eti mpaka wawe faragha. Ndiyo hapo kuna mvutano sasa. Ila sisi tunamlaumu Ustaadhi kwa sababu hii ni bahati sana kapata halafu anazingua bila sababu....
Ishu hii ni ndefu kidogo na nadhani ilianzia kwenye mguu wa King Davet...
Kwema lakini huko kwako? Huyu Kirusi Korona vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanatamani majumbani mwao akatize hata nyoka wamlipue, lakini huwezi amini bro, mpaka nyoka wanakupitia mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unabaki na kibunduki chako unamtishia wife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nadhani serikali wangepiga marufuku raia kumiliki silaha.
Lengo la kuzitoa kwa raia ni jema tu lakini baadaye zinakuja kutumiwa vibaya na baadhi ya raia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nililala kitambo baada ya kuona dalili za kunyimwaSaint Anne naomba ulale....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]Tumuombe Mungu atufanyie manusura, Corona ina uwezo wa kubadirisha historia na jiografia ya Dunia ndani ya miaka miwili tu.
Corona inaweza kuharibu China lakini inaweza kwenda kupiga kambi kwenye nchi nyingine kadhaa ikafanya uharibifu mkubwa.
"Mungu tuepushe na janga hili kama ulivyo waepusha wenzetu huko nyuma dhidi ya majanga ya kutisha zaidi kuliko hili" [emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zinakuwa mzigo maana zinakosa matumizi.
Ukifanya masihara utaitumia kwenye ugomvi wa kumgombea barmaid ulevini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hili neno maana yake ni Nini?Alhamdulillah [emoji120][emoji120]View attachment 1378329
Huyu jamaa bana basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]