Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna andaeitini mmoja yupo Keko magereza baada ya kumtandika mwenzake risasi kwa ugomvi wa kumgombea barmaid.
Ni tukio baya la kusikitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaadh sijui nifanyeje anitumie[emoji23]
Au ngoja nipambane na macho ya Davet yaliyonipita humu.
Ustaadh nitamuona huko huko nikifika[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani Kheri huko? Unaniangusha jirani, Hebu uwe kama kijana wa Mchafukoge bana. Saint Anne ataka aoneshwe mguu wa mtoto yakhe; Mtunuku jirani! 😀😀
Bora usiwe nayo tu.
Mwambie huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani Kheri huko? Unaniangusha jirani, Hebu uwe kama kijana wa Mchafukoge bana. Saint Anne ataka aoneshwe mguu wa mtoto yakhe; Mtunuku jirani! [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]anne kila siku ana mapyaNilitamani sana wewe na Shemeji yangu kipenzi kivuruge muwepo mtoe neno kuhusu hii kasheshe ya kulilia mguu wa mtoto tena wa ustaadhi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anne kila siku ana mapya
Mguu wa DavetMguu wa mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1378348