Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maana nimeona watu wanaisifia ila bado sijaivuta,nimeiweka kwenye wish list.

Bado unatumia halotel?
Sikuhizi nimehamia ttcl net haina jam usiku unavuta kwa raha zako net haikati wala nini.
Hata ukitaka kuvuta mchana net iko poa
Ee halotel hao hao. Ttcl huku nilipo net majanga,naitamani ila navuta subira watufikie
 
Enzi hizo kulikua na gazeti la sanifu kama sio uwazi halafu lina katuni za uroda. Hata sikujua maana ya uroda basi shule wenzangu wakizisifia katuni za majarida ya sani,bongo,tabasamu nawabishia eti weeeweee unaufahamu utamu wa uroda halafu kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Hukujua nini unamaanisha ndio kama Anne
 
Back
Top Bottom