Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeiona,Kwa upande wangu mie sijaipenda ila wengi wanaisifia.

Tabu ni pale nimesoma stori nyingi za korea kaskazini halafu sijaziona kwenye movie hio. Vuta episode mbili kisha itadhamini kama inakufaa au la.

Nimegundua leo night siku nzuri ya kuvuta movies
Maana nimeona watu wanaisifia ila bado sijaivuta,nimeiweka kwenye wish list.

Bado unatumia halotel?
Sikuhizi nimehamia ttcl net haina jam usiku unavuta kwa raha zako net haikati wala nini.
Hata ukitaka kuvuta mchana net iko poa
 
Back
Top Bottom