carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kama ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani
Huu uzi mmenishinda tabia[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani naona april ni mbali mnoo.Can't wait........
Nahisi tutashuhudia vita humu ndani
Ee halotel hao hao. Ttcl huku nilipo net majanga,naitamani ila navuta subira watufikieMaana nimeona watu wanaisifia ila bado sijaivuta,nimeiweka kwenye wish list.
Bado unatumia halotel?
Sikuhizi nimehamia ttcl net haina jam usiku unavuta kwa raha zako net haikati wala nini.
Hata ukitaka kuvuta mchana net iko poa
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Katiba ya chama hairuhusu kumuuza member mwenzio labda akupe ruhusa mwenyewe.
Usiri ni jambo muhimu.
Usirudie tena kumuuza mwenzio
#katibuwachamakaongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atasababisha nisiwe naangalia mpira safi bali miguu
Jamani[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siwezi rudua kosa kwakweli
Nibariki Basi sasahiviSiuliona watu walivyokua wengi?
Mimi nimekufundisha nini wewe mtoto??[emoji849][emoji849][emoji849]Hivi wako Ni zaidi ya huu?
Akina carba hao wamenifundisha[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sana enzi za kilimo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wako Ni zaidi ya huu?
Akina carba hao wamenifundisha[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122]Ee halotel hao hao. Ttcl huku nilipo net majanga,naitamani ila navuta subira watufikie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanipa dhambi mie
Mmenifundisha wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeamua nikatubu[emoji23][emoji23]
Shuaini za stella
Nitumie basi linkNdio lakini hiyo nimeitoa telegram
Huyu mtoto ananitafutia kesi huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmenifundisha wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hio picha nilikaa nayo muda wote na mguu sikuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitusingiziee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmenifundisha wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hio picha nilikaa nayo muda wote na mguu sikuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Hukujua nini unamaanisha ndio kama AnneEnzi hizo kulikua na gazeti la sanifu kama sio uwazi halafu lina katuni za uroda. Hata sikujua maana ya uroda basi shule wenzangu wakizisifia katuni za majarida ya sani,bongo,tabasamu nawabishia eti weeeweee unaufahamu utamu wa uroda halafu kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye ndo katufundisha tabia mbaya eti mguu wa mtotoHuyu mtoto ananitafutia kesi huyu[emoji23]
Nitumie basi link
#Lakinitumakulebasi [emoji16]