Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee....Maana nimeona watu wanaisifia ila bado sijaivuta,nimeiweka kwenye wish list.
Bado unatumia halotel?
Sikuhizi nimehamia ttcl net haina jam usiku unavuta kwa raha zako net haikati wala nini.
Hata ukitaka kuvuta mchana net iko poa