moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Utundu na ubunifu? Kwenye nini mzee wa pwani?
Kwema lakini, nimedandia tu bila kusoma route [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda utembee nae mfukoni[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana
#Nyasizitawakamoto
#leondioleo
#wanafidiamabao[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhali bro na wewe umetia neno hapa
Haya majungu yangu haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Sasajamaninitakuanambuzingapi?
Mabao ya mechi zote lazima yalipwe
#Wakubwawanafaidi
Leo funga yako haihesabiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Saint Anne tayarii natumaini umeiona
Hahahaha anamvutia kasi tu, hizi ndio huwa style zake anapiga kama hataki vile[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
#naonaweweumefiakwambuziwadubai
Una bahati mbaya sana