Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uhenga wangu huu jumlisha wajukuu nawezaje kumnyakua.
Asante mpendwa kwa kunitetea mwenye mali kafika anajiteteaπππMpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante ππPoleni wa daladala..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mpendwa kwa kunitetea mwenye mali kafika anajiteteaπππ
He! Jirani umewahi
Nimeiokota tu. Hela ndedu hizo jiraniHe! Jirani umewahi
Jioni ya kichwa tuJioni ya kujitetea
ππππ Akishakutana Numbisa na Carba humu basi tunapata tabu ata sisiDuuh huu uzi unakimbia aisee,, yaani huwa natamani nipitie comment moja moja humu ila kila nikitoka nikirudi nakuta comments 200+ duuh..
πππ chama cha utoaji baraka( CCUB) jamani kwa kazi yake nini?Inlaw mwenyewe anajiweka sokoni utadhani msimu wa karoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]