Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Huyu ni nani?
Khantwe sijui yuko wapi huyo Muhenga ata mimi nimemkumbuka sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na SHIMBA YA BUYENZE,, halafu Khantwe sijamuona siku mbili tatu hizi mmemficha wapi eti??
Huyu ni nani?
Wadada wanamkubari sana sio?
Unyumba kwa mke sio?Unyumba haupatikani kwa mchumba!
Hahah! Hatari hiyo kazi adi masi6Du walikua wanaielewa sanaBasi nilikuwa naisikiliza hapa, kuna mistari huwa inanikuna sana mzee
Hahah!Yeah mie kuna watu humu wakikosekana hata siku mbili tu lazima nigundue
Hahah! Uko deep sana mzee yani unakua "John kisomo" ata kwenye elimu ya mambo ya unyumba?[emoji16][emoji16] ngoja kwanza ni pass mitihani yake, halafu nitakuachia material
Saana si kitoto.. mwenyewe anajiita Mume wa dada wote.Wadada wanamkubari sana sio?
Yes.. sio unataka unyumba mwema kwa mchumba!Unyumba kwa mke sio?
Waleykum salaam ninge.Assalyam alyequm carba, kheri huko?
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23] Naddy[emoji119][emoji119]Yes.. sio unataka unyumba mwema kwa mchumba!
Usukumani ni kwema carba,uzima upo wa kutosha..Waleykum salaam ninge.
Huku alhamdulillah,sijui huko usukumani
Siku hizi kiwango chake kimepanda mnooDuh! Basi kumbe mzee mwenzangu yupo deep sana na hayo mambo
[emoji23][emoji23] na anapendwa hataree..(Mimi mmoja wapo)Dah Bro unasikia haya maneno lakini Davet
Woyoooo[emoji847][emoji847]Na card no1 ya chama unamiliki wewe