Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ndo moudy huwa anapawezea hana hasira
Machungu na hasira anavyo ila tu anajua kujizuia na anajua kwenda sawa na wapinzani wake. Mfano angalia post zake za sasa hivi anajipondea kuwa Simba ni Paka wakati kabla ya mechi alikua anajiona ni Simba wa kweli. Hiyo ni mbinu ya kuwafanya wapinzani wasiendelee kumshikia Bango
 
Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.

Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha

Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..

Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani

Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.

Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo kwa vilabu vyetu vya soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu ambaye ni antsocial ana sifa zipi??
 
Kuna test ya kufanya kujua wewe ni intro au extro
Umeifanya? Haufit kabisaaa kuwa introvert wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…