moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Binti nimjuae mimi [emoji120][emoji120]Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.
Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha
Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..
Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani
Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.
Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itasababisha tusiwe tunafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa
Wee mzee kuku wako mwenyewe wamshikia manati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee...Saint Anne njoo huku nakuitaView attachment 1381266
ππππ eti hasira kama SYBSiwezi kuwa na hasira kama SYB, mpira naujua vema.
Tanieni mnavyoweza nakuchukulie poa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ pole mkuuHawa Man City wangu wamekua Wasengerema kweli
Wee mzee kuku wako mwenyewe wamshikia manati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda Manchester wanapigaga mpira vizuri kama Yanga yaani...Hawa Man City wangu wamekua Wasengerema kweli
Mi hata sijui ila Kwenye uextrovert sipoHivi mtu ambaye ni antsocial ana sifa zipi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hasira kama SYB
Test ipi?Kuna test ya kufanya kujua wewe ni intro au extro
Umeifanya? Haufit kabisaaa kuwa introvert wewe
Kwa nini[emoji20][emoji20][emoji17][emoji17]View attachment 1381271
ππππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa Man City wangu wamekua Wasengerema kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shindwaaKuku wangu kwa sasa yupo kwako anataga [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaha hizo hirizi zilivyochorwa sasaLeo hirizi zimebuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1381204
Sent using Jamii Forums mobile app